SHEIKH YAHYA AFARIKI SOUTH AFRICA

Xmation Media
By -
0



Msomi Mashuhuri Wa Quran na Katibu Wa Viwango Sheikh YAHYA Byabato Amefariki Dunia .


Sheikh Yahya Ambaye Amewahi Kufundisha Na KUFANYA Daawa Miji Mbalimbali Ikiwepo Iringa Na Mbeya Amefia Hospital Pretoria Afrika Kusini .


Sheikh Kijana Mwenye Kipaji Na Ujasiri Wa Hali ya Juu Alikuwa Imam Kusini Mwa Afrika Toka Miaka ya Tisini .

Ametembea Nchi Nyingi Ikiwepo Namibia, Botswana N.k. Kwa Upande Wa Kusini Mwa Afrika. alifundisha na Kuswalisha katika nchi hizo.


Sheikh Pia Amewahi Kufanya Kazi Arabuni Za Kidini Kama vile Kuswalisha, Kufundisha na Kuwaidhi .


Watanzania tumepoteza Mtu Muhimu katika Elimu ya Dini , Funzo kubwa alilotuachia ni kuwa Majasiri katika Kazi ya Dini , Tusijiwekee Vikwazo , Kila kitu Kinawezekana , UKIWA jasiri na kuheshimu vipaji ulivyopewa na Allah.


Mipaka ya Wakoloni isitukwaze Kufanya Dini , ituchochee kutekeleza Amir za Allah na Mtumewe .


Allah Barik

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)
3/related/default