Tunayo furaha kubwa kutangaza uwepo wa viongozi na wageni wetu wa heshima katika Supply Chain, Mobility & Logistics Awards (SML Awards 2026), hafla inayotambua ubora, ubunifu na mchango wa wadau katika maendeleo ya sekta mbalimbali.
Miongoni mwa wageni wetu wa heshima ni:
Mgeni Rasmi: H.E. Othman Masoud Othman – Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Pia, tunatarajia kushiriki pamoja na viongozi wengine mashuhuri kutoka Tanzania na Zanzibar:
Hon. Prof. Makame Mbarawa – Waziri wa Uchukuzi, Tanzania.
Hon. Dr. Khalid Salum Mohamed – Waziri wa Uchukuzi na Ujenzi, Zanzibar.
Hon. Omar Said Shaaban – Waziri wa Biashara, Zanzibar.
Dr. Nasra Nassor Omar – Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale, Zanzibar.
Tarehe: 23 Oktoba 2026
Mahali: Superdome, Masaki, Dar es Salaam.
SML Awards 2026 ni jukwaa la kuunganisha viongozi, wawekezaji na wadau wa sekta mbalimbali, kukuza fursa za biashara na kutambua mchango wa wanaoleta mabadiliko chanya katika uchumi kupitia usafirishaji.
Hakikisha unajihakikishia nafasi yako mapema!
Tiketi: https://smlaward.com/ticket/
Karibu tuungane kusherehekea ubora, uongozi na fursa za uwekezaji!




