wafugaji wa kuku wameshauriwa kufuga kisasa na kutumia nishati safi kwa ajili ya mwanga na joto Ili kuwafikia walaji na soko kwa ujumla.
Hayo yamebainishwa na mkurugenzi wa shamba la ufugaji wa kuku wa kienyeji kibera farm Tz. limited lililopo mkuranga mkoani Pwani Mussa kalimanzila ambaye amesema ufugaji wa kuku wa kienyeji wakubwa ndio kipaumbele Chao Ili kulifikia soko na walaji .
