MCHIMBAJI ABDAl RWANGASA AIPONGEZA SERIKALI KWENYE SUALA LA MIKOPO KWA WACHIMBAJI.

Xmation Media
By -
0


Wachimbaji wadogo wa Madini katika Mgodi wa Dhahabu Rwangasa Mkoani Geita wameipongeza Serikali kwa Kujenga Mazingira wezeshi kwa Taasisi za kibenki kutoa Mikopo kwa Riba Ndogo kwa Kundi Lao.

Akizungumza na Chombo hiki cha Habari katika Eneo hili walisema wao kama Wachimbaji wadogo walikuwa wanapata Shida kupata Mikopo yenye Mashart nafuu hivyo Baadhi Yao kukimbia Mikopo ya kausha damu.

Walisema Mikopo Hiyoo Ilikuwa ukuwa Fanya wapate faida Ndogo ambayo haikuwa na tija mmoja wa Wachimbaji hao Abdal Rajabu alisema anaishukuru serikali kupata Mkopo katika Benki yenye Masharti nafuuu 


Alisema Mikopo hiyo Inasaidia kuongeza mapato yake kutokana na Uchimbaji wa Madini kwa kutumia Vifaa vyenye Ufanisi.

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)
3/related/default