The Tanzania Mining Sector Progress*

Xmation Media
By -
0


#InvestinTanzaniaMiningSector

#ValueAdditionfor

SocioEconomicDevelopment

#Mining4Development

#Vision2030: MadininiMaisha&Utajiri

Sekta ya Madini ya Tanzania inaendelea kusonga mbele kwa kasi kubwa, huku  shughuli zote za  Madini zikiendelea kama kawaida ikiwemo utafiti, uchimbaji,  uongezaji thamani madini  zikiendelea kwa ufanisi, zikiongozwa na Sera madhubuti, mifumo ya kisasa na dira iliyo wazi ya maendeleo endelevu.

Wakati huohuo, viwanda vya usindikaji na usafishaji wa madini vinavyojengwa vinaendelea kwa kasi, huku miradi mikubwa ya kimkakati iliyo kwenye hatua mbalimbali ikiendelea kama ilivyopangwa. Haya yote yanathibitisha dhamira ya Tanzania kufikia lengo la uongezaji thamani kamili wa rasilimali zake za madini.

Tanzania inakaribisha uwekezaji katika kila hatua ya mnyororo wa thamani wa madini—kuanzia utafiti, uzalishaji, uongezaji thamani, hadi uanzishaji wa viwanda vinavyotengeneza bidhaa za mwisho.

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)
3/related/default