TABORA YAZINDUA KAMPENI YA USAFI DC, WELLA AWAONGOZA WANANCHI
Mkuu wa wilaya ya Tabora upendo Wella amewahimiza wananchi kujitokeza Kwa wingi Katika maeneo Mbalimbali hili KUSHIRIKI kwwnye zoezi la usafi Kwa lengo la kuhakikisha wilaya inakuwa na mazingira Safi Kwa lengo la kuepukana na magojwa hatarishi